

Twende, twende Cheza, cheza
Nataka kuishi
Nataka kucheza
Jua na bahari
Wewe na mimi
Twende,
twende
Chini
ya jua
Cheza,
cheza
Kando ya bahari
Ngoma zipige Twende pamoja Cheza polepole Tuko pamoja
Nataka kuishi
Nataka kucheza Nataka kufurahi
Na wewe,
mpenzi
Twende,
twende Cheza,
cheza
Chini ya jua
Kando ya bahari