

(ahhhh) Amenda yesu
ameniokoa
Amenipa utulivu Bwana (Amen)
Bwana wokovu wake
Ni wa milele
Bwana wokovu wake
Ni wa milele (Hallelujah!)
Amenipa
amani ya moyo
Kila
siku namsifu yeye (hmmm)
Bwana wokovu wake
Ni wa milele
Bwana wokovu wake
Ni
wa milele
Ameniokoa,
wa milele (Amen)