

Mungu wetu ni mwema
Anatupenda Mungu wetu ni mwema Ni
mwenye huruma Anatupenda watoto wake Yahweh
Anatuhurumia
Baba Wana wake
Anatupenda Bwana Anatujali Yahweh Anatupenda Anatujali
Yahweh Moyo wa toba ya kweli
Eh Ni Mungu anayupenda kwetu sisi
Moyo ulioponeka wake Baba Huyu hai
Yahweh
Huyu ni mwema Tena rafiki Eh